Mkutano Wa Pili Kuelekea Bunge La Vijana Afrika Mashariki 2021 (Vijana...
Katika kuelekeza nguvu kazi ya kutatua changamoto za vijana kwa njia ya uwasilishwaji wa hoja za kimantiki katika njia ya bunge, vijana kutoka Tanzania chini ya mradi wa Bunge la Vijana Afrika Mashariki siku ya leo tarehe 15th Oktoba 2021,…